NAMNA YA KUWA MTU MWENYE MSIMAMO
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 15, 2022
Product Views:
3,491
Sample
Msimamo na Malengo ni vitu viwili ambavyo havitenganishwi.
Msimamo ni Mwongozo wa maisha yako kila siku, kazi unazofanya au kila mahali unapokuwa.Watu wengi hawajaweka msimamo kwenye maisha yao,matokeo yake wanaishi bila mpangilio wala utaratibu.Ukiishaweka msimamo maana yake vitu ambavyo vitakuwa kinyume na msimamo uliojiwekea unaachana navyo ili kuendelea kumtumikia Mungu katika kweli na kumzalia matunda.Mfano wa msimamo unaweza kujiwekea ni uaminifu, uvumilivu, uchapakazi, upendo,amani,ukweli na uwazi n.k