NAMNA YA KUJENGA TIJA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 20, 2020
Product Views:
3,719
Sample
Namna ya kujenga tija wakati unafanya kazi ni mada ambayo itakusaidia kufanya kazi zako kwa ufanisi zaidi.
Kuna tofauti ya kuwa BUSY na kuwa EFFECTIVE.
Watu wengi wanafanya kazi kwa bidii lakini hawana tija. Somo hili linakuja mahususi kukufundisha namna ya kufanya kazi yenye tija.
Eric Shigongo na Rodrick Nabe wanasisitiza ufanye kazi chache zenye kuleta matokeo makubwa.