Mzee Ndizi Aalikwa Kambini Okello Na Agaba Matatani
Mzee Ndizi Aalikwa Kambini Okello na Agaba Matatani
Mara nyingi watu wa zamani na wa sasa hivi wana tabia ya kusukutua mdomo baada ya kumaliza kula. Wengi wao huwa hawamezi yale maji, bali wanatema nje kwa nguvu. Je, unajua kwa nini wanatema? Ili midomo yao ubaki safi bila mabaki ya chakula. Mabaki ya chakula mdomoni hufanya mdomo wako kunuka vibaya baada ya muda fulani ndio maana watu wa zamani na wengine wa siku hizi wanaendelea hadi leo kufanya hivyo. Kama una mswaki na dawa ya meno kama colgate, unashauriwa kupiga mswaki kila baada ya kula ili mdomo wako usinuke. Mdomo wako ukinuka watu wanaogopa kukaa karibu na wewe, yaani, wanakukwepa kabisa. Kwa hiyo, Mzee Ndizi baada ya kusukutua mdomo wake, alitembea moja kwa moja, akainama juu ya ukuta na kutema maji machafu. Je, unajua ametema wapi?
Endelea kusoma ili kupata undani wake.........!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza