Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mwongozo Wa Malezi Bora Ya Watoto - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MWONGOZO WA MALEZI BORA YA WATOTO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 12, 2024
Product Views:
269
In category:
Sample

Ndani ya kitabu hiki utapata fursa ya kujifunza juu ya tabia na changamoto mbalimbali walizonazo watoto, sababu zake na namna ya kukabiliana nazo. Kitabu hiki pia kitakusaidia sana kuboresha malezi unayoyatoa kwa watoto wako kwani kitakupa majibu kwa maswali mengi ambayo huwa unajiuliza kuhusu watoto bila kupata majibu yake kwa wepesi. Mambo mengi ya kitaalamu kuhusu watoto yameelezwa kwa lugha rahisi ili kuweza kueleweka kirahisi hata kwa mzazi au mlezi asiye na elimu kubwa au ujuzi kuhusu malezi na saikolojia ya watoto. Nakuhakikishia mlezi mwenzangu kuwa hutajuta kusoma kitabu hiki na utakuwa balozi mwema wa hiki kitabu kwa wazazi na walezi wengine, usisite pia kutafuta kitabu changu kingine cha MWONGOZO KWA MALEZI BORA YA VIJANA, Asante.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold