MWONGOZO WA BIASHARA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 13, 2021
Product Views:
3,290
Sample
Kitabu hiki cha “Mwongozo wa Biashara” kimekuja kuleta suluhu ya hofu waliyonayo watu makazini na mtaani juu ya maisha yao ya kesho kwa kuwa kinatoa mwongozo kwa kila mtu kumiliki biashara yake haijalishi mtu huyo ana pesa au hana kwa sasa. Kitabu hiki kimeeleza hatua kwa hatua jinsi mtu anavyoweza kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara yake nili biashara yake iwe na tija.
Ndani ya kitabu hiki utapata kujifunza na kuhamasishwa na watu
ambao pamoja na kupitia changamoto mbalimbali waliweza
kuanzisha biashara zao.
Kitabu hiki kimebainisha baadhi ya mawazo ya biashara
yanayoweza kukusaidia kama utayafanyia kazi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza