MWANANGU NISIKILIZE KWANZA
Mwanangu nisikulize kwanza zawadi bora kwako ni hii
Kitabu hiki ni zawadi bora ya mawazo na hekima kwa mwanafunzi. Kazi hii inalenga kumwezesha mwanafunzi kuweza kufanikiwa kutimiza malengo yake ya kitaaluma. Maudhui yamegawanyika katika mada nne; Mada ya kwanza inasisitiza namna ya kumpata rafiki mwadilifu na tahadhari juu ya marafiki wabaya. Mada ya pili imetoa kanuni za matumizi bora ya muda na kuonesha mambo yapotezayo muda wa wanafunzi wengi. Mada ya tatu imesheheni mambo ya msingi mwanafunzi anayopaswa kuyazingatia ili awe na ufaulu mzuri. Mada ya nne inaonesha umuhimu na tahadhari za mitandaojamii kwa mwanafunzi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza