Mwanamke Wa Kazi
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 11, 2023
Product Views:
1,391
Sample
Namna ya kufanikiwa kimaisha bila kumtegemea mwanaume
Wewe ni mwanamke, huwenda umekata tamaa ya maisha, umetelekezwa na watoto, umepewa taraka, umefiwa, huelewi huanzie wapi, ulimtegemea mwanaume kwamba angekuwa msaada wako kwa sababu alikuahidi vitu vingi lakini ukaambulia patupu.
Una mwanaume lakini hatimizi wajibu wake, haujui hata ufanye nini.
Kitabu hiki ni kwa ajili yako, kitabu hiki ni kwa ajili ya wanawake wote wenye madhumuni na hamu ya kupiga hatua na hawajui waanzie wapi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza