MWANAMKE NA VITA DHIDI YA SHETANI
Lakini kuna vita vya kipekee vinavyoendelea nyuma ya pazia, vita ambavyo si dhidi ya wenzake wa kibinadamu, bali dhidi ya adui wa roho - Shetani.
Katika ulimwengu huu wa kisasa wenye changamoto na migongano ya kila aina, tunaona jinsi jukumu la mwanamke limebadilika na kuimarika kwa njia ambazo hazijawahi kufikiriwa hapo awali.
Mwanamke amejitokeza kama nguvu isiyoweza kudharaulika, akijifunza,kiongoza, na kushinda katika nyanja zote za maisha. Lakini kuna vita vya kipekee vinavyoendelea nyuma ya pazia, vita ambavyo si dhidi ya wenzake wa kibinadamu, bali dhidi ya adui wa roho - Shetani.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza