MUONGOZO WA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA NA BARAKA ZA KILA MWEZI
Muongozo wa Maombi ya kufungua mwaka na Baraka za Kila mwezi
Silaha pekee ambazo zitakusaidia kuweza kutembea na kuliishi Neno la Mwaka huu ni Kufunga, kuomba na kusoma Neno la Mungu.
Neno la Mungu linatusihi kuwa Tuombe bila kuchoka na bila kukata tamaa. Hii inatuonyesha sisi ya kuwa pamoja na kukutana siku 12 za mfungo wa maombi ambazo zimewakilisha miezi 12 ya mwaka huu bado kila mmoja wetu kwa muda wake anatakiwa kupata muda wa kuendelea kufunga na kuomba.
Hii ni kwa sababu;
1 Petro 5:8 \\\"Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.\\\"
Shetani hatokata tamaa katika kutaka kuangusha biashara zako, kuharibu ndoa yako, kuiba milki zako na kuharibu maisha yako. Kwahiyo kama Shetani hatokata tamaa katika kutaka kuzitimiza hila zake, sisi pia hatutakiwi kulegea wala kukata tamaa katika kufunga na kuomba.
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa maombi yote yaliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu na ndio maombi tutakayotembea nayo kwa mwaka mzima ili lile Neno alilotuambia Mungu liweze kutimia kwetu.
Mwanangu mwaka huu ni mwaka wako wa kubeba milki zako na kuchukua nafasi zako na hakuna yeyote wala chochote kitakachokuzuia kwa Jina la Yesu. Nenda kamiliki sasa .....
JIPATIE NAKALA NYINGINE KUTOKA KWA PASTOR TONY OSBORN
SILAHA ZA VITA VYETU https://www.getvalue.co/prod/silaha_za_vita_vyetu
KUUWEZA WAKATI UJAO https://www.getvalue.co/prod/kuuweza_wakati_ujao
MATTERS OF THE BLOOD https://www.getvalue.co/prod/matters_of_the_blood
SIGNS AND TOKENS https://www.getvalue.co/prod/signs_and_tokens
KWAKUA SASA UMEOKOKA https://www.getvalue.co/prod/kwa_kuwa_sasa_umeokoka
NDOTO UANZOOTA NA UHALISIA WAKE https://www.getvalue.co/prod/ndoto_unazoota_na_uhalisia_wake
CHRISTIANS IN THE BUSINESS WORLD https://www.getvalue.co/prod/christian_in_business_world
DEALING WITH ADDICTIONS https://www.getvalue.co/prod/dealing_with_addictions