MUNGU NA WAJASIRIAMALI
Ujasiriamali ni kitendo cha kufanya shughuli yoyote kwa ubunifu ili kujipatia faida. Tupo duniani ili kutengeneza faida na faida hiyo ipo Karina maeneo makuu matatu ya kwanza ni faida kwa ufalme wa Mungu, faida kwa watu wengine na ya tatu faida kwaajili yako binafsi. Kitabu hiki kitakufundisha ya kutengeneza faida kwa mtiririko huo na mengine mengi
kitabu hiki kinalenga maana halisi ya ujasiriamali kibiblia, Mungu anapenda watu wake wawe wenye mafanikio isipokuwa watu wake wanakataa maarifa ya Mungu kuhusu ujasiriamali, Akasema mimi ni Mungu nikufundishaye ili upate faida kamwe huwezi kutengeneza faida Kama hujajifunza. Kitabu hiki kinaeleza wajasiriamali waliomo kwenye biblia, fedha ni roho na ina mwili, kwanini wat u wa Mungu wengi wanakua maskini, namna ya kufanikiwa kwa kufuata kanuni za kiroho na za kimwili
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza