Muda Wangu, Mafanikio Yangu
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 03, 2023
Product Views:
999
Sample
Thamani ya Muda katika kupata mafanikio juu ya Malengo ya mtu binafsi au taasisi
Muda ni hakimu wa kweli ambaye hutoa hukumu ya kweli kwa kila mtu. Hii ni kumaanisha kuwa kila mtu amejaliwa kuwa na muda madam tu yu hai, hivyo hakimu huyu (muda) hueleza bayana kama umeyapata mafanikio chanya ikiwa umemtumia vizuri au kutokuwa na mafanikio ikiwa umemtumia vibaya.
Kitabu hiki kimefafanua bayana yale tuyafanyao kinyume na kanuni ya muda na kipi tukifanye ama kujinyima ili tupate mafanikio yetu yawe ya kiroho ama kimwili