MUDA NA WAZAZI PROGRAM
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 23, 2024
Product Views:
796
Sample
Hii ni program maalumu yenye lengo la kukufanya \r\nUTAMBUE NAFASI YAKO NA KUWEKEZA SEHEMU SAHIHI
MUDA NA WAZAZI program ni program ambayo imeandaliwa kwaajili yako wewe mzazi, malezi au kijana yenye lengo la kukuonesha maeneo muhimu ambayo unatakiwa uwekeze ili kutambua nafasi yako katika familia na kuwa mwepesi wa kujifunza kutoka kwa wazazi wako...
Ni program yenye mkusanyiko wa masomo matano yaliyogawanywa na kuletwa kwako kwa njia ya AUDIO...
Kupitia program hii utaweza kujua mbinu, misingi na maeneo makuu ya kuwekeza juu ya wazazi wako...
Karibu na uwekeze sehemu sahihi. Anza na Wazazi wako
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza