
Muda Na Wazazi
Hii Ni Kwa Wale Wanaotaka Kujifunza Na Kuwekeza Kwa Wazazi Wao Kila Siku!...
Je, Ungependa Kuwa Mwepesi Wa Kujifunza Na Kuwekeza Kwa Wazazi Wako!?...
Watu wengi wanawasahau sana wazazi na walezi wao bila hata ya wao kujua. Na hivi ndio ilivyo katika Dunia ya sasa iliyojaa utandawazi na utamaduni mpya kabisa unaosahau misingi na nafasi ya wazazi katika maisha yao. Hii inaleta shida mno hadi wazazi na walezi wao kuishia kuishi wenyewe bila msaada na ukaribu kutoka kwa vijana wao. Wazazi wengine huishia kupata msongo wa Mawazo wa muda mrefu na wengine magonjwa ya kudumu au vifo kutokana na upweke uliokomaa.
Je, Wewe Hili Limemuathiri Kwa Kiwango Gani Mzazi Wako!?
Watu wengi huishia kutafuta njia au Suluhu ambazo zinashindwa kabisa kuwaletea matokeo Chanya na muunganiko mzuri kati yao na wazazi wao. Wengine huenda hata kuwapa vitu vya thamani wakiamini kuwa ndio itakuwa Faraja pekee kwa wazazi na walezi wao. Kumbe ndio wanazidi kuongeza maumivu kwao.
Je, Wazazi Wanahitaji Nini!?
Je, Vijana Wanahitaji Nini!?
Je, Nani Anaweza Kuyaunganisha Mahitaji Haya Kati Ya Vijana Na Wazazi Au Walezi Wao Bila Kuathiri Mahusiano Yao!?
Katika Kitabu Cha MUDA na WAZAZI Utaenda Kutambua:-
- Jinsi ya kujenga mahusiano mazuri na chanya kati yako wewe na wazazi wako itakayokusaidia kustawi na kuthaminiana zaidi.
- Kujifunza kutambua nafasi ya kila mmoja katika familia na kuwekeza katika umoja wenu.
- Kujifunza jinsi ya kuweka mipaka sahihi inayolinda mahusiano yako na mzazi/mlezi wako katika kila hatua ya ukuaji wenu.
Kama unataka kupata matokeo makubwa zaidi na kujenga mahusiano bora na wazazi wako nakushauri sana usome kitabu hiki cha MUDA na WAZAZI ili ukatambue jinsi ya kuwekeza sehemu sahihi.
Fanya Maamuzi Sasa Ya Kupata Kitabu Hiki Na Usijekujutia Baadae Kwa Kutokuyajua Hayo Mapema!...
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza