MTU WA THAMANI
Kama unataka kufanikiwa usitafute mafanikio Tafuta kuwa MTU WA THAMANI Katika jamii zetu, tunakutana na watu wa aina mbalimbali, lakini kuna wale ambao kwa kweli wanashikilia nafasi maalum kwa sababu ya thamani yao isiyo ya kawaida. Mtu wa thamani si tu yule ambaye ana mali au cheo pekee bali yule ambaye ana athari chanya na za kudumu katika maisha ya wengine. Katika kitabu hiki, utagundua maana ya mtu wa thamani, sifa zake kuu, na mchango wake katika jamii.Mtu wa thamani ni yule ambaye ana sifa ambazo zinamfanya kuwa tofauti na wengine. Thamani yako haipimwi kwa mali au hadhi pekee, bali kwa tabia, uwezo, mchango, na athari unayotoa kwa wengine. \\\\r\\\\n\\\\r\\\\nMtu wa thamani anaweza kuwa MTU yeyote ambaye ameacha alama kubwa kwa njia ya kipekee sana katika kile anachokifanya.Kwa nini usome kitabu cha MTU wa Thamani : Kitabu hiki kinakupa mbinu za kutambua thamani yako binafsi na jinsi ya kuitumia katika nyanja zote za maisha yako, iwe ni katika kazi, uhusiano, au malengo binafsi. mafunzo yaliyopatikana kutoka kwa watu wenye mafanikio na maisha yenye furaha, ambayo yatakusaidia kutengeneza mabadiliko ya kudumu katika maisha yako,\\\\r\\\\n Nguvu ya Kujitambua: Kupitia vitendo na mbinu za kujiimarisha, kitabu hiki kinakusaidia kujenga imani na kujitambua zaidi, na hivyo kukupeleka hatua zenye mafanikio zaidi katika safari yako ya maisha. Wewe ni MTU WA THAMANI.
kitabu hiki kitakusaidia mambo mhimu ya kuzingatia Ili mtu kuweza kuwa katika Nafasi za nzuri na yenye Thamani kubwa kwenye maisha bila KUJALI unafanya Nini utakuwa miongoni mwa wenye Thamani kubwa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza