MTOTO MWEMA NA HADITHI ZINGINE
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 08, 2025
Product Views:
10
Sample
Hadithi fupi kwaajili ya watoto
Mtoto Mwema na Hadithi Zingine ni Kitabu kilichoandikwa na Andrea Gidion, mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Masawe iliyopo Wilayani Misungwi kitabu hiki ni kwaajili ya kukuza uwezo wa kusoma wa watoto hasa darasa la kwanza na darasa la pili lakini pia ni motisha kwa wanafunzi wa shule za misingi kote nchini kuanza kufanyia kazi vipawa walivyonavyo.
KARIBUNI....
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza