Mtaji Wa Biashara
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 13, 2023
Product Views:
1,949
Sample
Mtaji Wa Biashara
Una *Laki 5, Million 1, Million 5* au zaidi?? Unafikiria *Biashara* ya kufanya?
Soma kitabu cha *MTAJI WA BIASHARA.* Utajifunza zaidi ya *Biashara 30* za kufanya Kuanzia *Biashara* za *Mtaji* wa *Laki 1* mpaka *Biashara* za Mtaji wa *30 M T.shs.* KITABU CHA MTAJI WA BIASHARA.
Kimeelezea Biashara kama,
*Mgahawa, Duka la Nguo, Saloon ya Kike / Kiume, Duka la vifaa vya ujenzi, Biashara ya cake, Bakery* na biashara nyingine nyingi.
Soma kitabu cha Mtaji ujifunze
Mahitaji ya kuanzisha hizi biashara
Na makadirio yake ya mapato na matumizi kwa miezi 6 mbele.