MSINGI WA MAHUSIANO
Usitafute mtu sahihi , kuwa mtu sahihi kwanza.
Matarajio na malengo ya watu wengi ni kupata watu sahihi wa kuwa nao kwenye mahusiano. Lakini wamesahau kwamba na wao wanapaswa kuwa watu sahihi kwanza. Katika kitabu hiki nimekuelezea namna ya kuwa mtu sahihi kwanza kabla ya kumtafuta mtu sahihi kwanza ajili yako.
Unapokuwa mtu sahihi unakuwa mtu bora na hivyo utawavutia zaidi watu bora wasogee kwako , kama ilivyo kwa nzi kusogelea uchafu na nyuki kusogelea maua, ndivyo ilivyo na kwetu pia, ukiwa mjinga utavutia watu wa viwango hivyo na ukiwa bora utavutia watu wa viwango hivyo.
Baadhi ya mambo muhimu utakayojifunza kwenye kitabu cha MSINGI WA MAHUSIANO.
1::unamfahamu mtu unayemtafuta kila Siku ufananie naye?
2:: Tatizo kubwa linalokufanya upate changamoto kwenye mahusiano ni ufikiri wako.
3::ufahamu msingi wa mahusiano yoyote yaliyo imara.
4::mambo utakayoyafanya kama ukijitambua.
5::sehemu 4 za kujihakiki Kwa mahusiano Bora.
6:: Kwanini mahusiano yako ya kimapenzi hayadumu?
7:: kwanini wengi hatutafuti kitu sahihi ila kitu kinachovutia?
8::namna ya kuvutia na kuacha kufukuzia. Namna ya kuwa mtu mwenye mvuto na kuacha kuwa mtu unayelazimisha watu wakupende.
9::Maamuzi thabiti unayoweza kuyafanya kwa ajili yako mwenyewe.
10::Siri usiyoijua kuhusu kujipenda.
Na mengine mengi utajifunza kwenye kitabu hiki
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza