MSINGI WA BIASHARA YENYE NGUVU
Price:
7,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 26, 2020
Product Views:
2,657
Sample
Wezesha BIASHARA yako, ufanikiwe katika ulimwengu wa ushindani
Kwenye kitabu cha MSINGI WA BIASHARA, Kuna mengi ya kujifunza ikiwamo;
1::uhusiano wa biashara na fedha unavyoweza kukusaidia kukuza biashara yako.
2::Utajifunza namna ya kufanya mauzo kutakako kusaidia kuongeza mauzo yako.
3::MSINGI muhimu wa biashara , ufahamu muhimu unaopaswa kujua juu ya kuuza.
4::Namna ya kuitengenezea biashara yako mfumo unaojiendesha wenyewe
5:: Ujuzi wa masoko na usimamizi bora wa biashara.
6:: utajua kwanini hutengenezi fedha za kutosha kwenye biashara yako.
7::ifahamu misingi miwili wezeshi ya biashara.
8::Kwanini haupigi hatua kwenye biashara yako.
9::Namna ya kumuhudumia mteja anayekuja mara ya kwanza na kumgeuza awe mteja wako wa kudumu.
10::Namna ya kumshawishi mteja kununua biadhaa Yako, Namna ya kumbadilisha mpitaji kuwa mteja wako.
12:: Utajifunza saikolojia ya mteja.
13:: Utajua mteja ananunua Nini hasa, kitu gani kinamshawishi kufanya maamuzi ya kununua.
14::Jifunze namna ubunifu unavyoweza kuongeza mauzo yako.
15::Namna yakufanikiwa kibiashara Ukiwa chuoni na mahali pengine popote.
16::utaijua nguvu ya matangazo kwenye kuikuza na kuiongeza biashara yako.
Na mengine mengi yenye afya ya kuiboresha biashara yako utayakuta humu kitabuni.