MSHIKA MAWILI YOTE YAKE
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 03, 2021
Product Views:
4,248
Sample
Je unataka kuwa miongoni mwa waliofanikiwa?? Ndani ya kitabu Cha Mshika Mawili Yote Yake zipo mbinu zitakazotusaidia kufikia mafanikio.
Watu wenye mafanikio makubwa wanayo mifereji na vyanzo vingi vyakuongeza kipato ,hii ni sawasawa na mto wenye vyanzo vingi vyakuingiza maji na ule ambao unachanzo kimoja unafikiri ni mto upi upo kwenye hatari ya kukauka haraka pale ukame utakapotokea ??? Basi haya Yote na mengine mengi utajifunza ndani ya kitabu Cha "MSHIKA MAWILI YOTE YAKE.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza