Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Moyo Wa Baba - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MOYO WA BABA

0.6
3
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 08, 2025
Product Views:
125
In category:
Sample

Kitabu hiki ni kitabu ambacho nichapekee sana.

Upendo wa Baba wa Kiroho kwa Mtoto wa Kiroho


Katika ulimwengu ambao wengi hawajui maana ya kweli ya upendo wa Baba wa kiroho, kitabu hiki kinafungua macho na mioyo ya wengi kuelewa jinsi Baba wa kiroho alivyo zawadi kutoka kwa Mungu. Kupitia simulizi halisi, mafundisho ya kiroho, na ushuhuda wa kugusa moyo, \\\"MOYO WA BABA\\\" kinamwangazia Chief Prophet PD Yohana — Baba wa kiroho anayependa kwa dhati, kufundisha kwa uvumilivu, na kuongoza kwa maono ya mbinguni.


Kitabu hiki ni mwaliko wa kuingia kwenye safari ya kuelewa uhusiano wa kipekee kati ya mwana na Baba wa kiroho. Ni zawadi kwa kila mwana wa kiroho anayetafuta kuelewa moyo wa Baba yake, na pia ni taa kwa viongozi wa kiroho kujifunza namna ya kuonyesha upendo wa kweli kama wa Baba wa mbing

uni.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold