Mkasa Wa Modesta Season 01
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 09, 2021
Product Views:
2,094
Sample
Mkasa Wa Modesta
Katika Maisha Usikate Tamaa, Na Usikimbie Wito. Mwenyezi Mungu Kamuita Kila Mtu Kwa Kusudi Lake. Na Hili Mungu Akutumie Ni Lazima Uandaliwe Vzr. Kwa Njia Zake. Kipimo Cha Mapito Yako Ndio Kipimo Cha Neema Uliyobeba. Mfano Unaweza Kuitwa Kupitia Magonjwa, Kukataliwa,Madeni, Vita Isiyokoma, Njaa, Na Kwa Hali Yoyote Ambayo Mungu Ameichagua Juu Yako.