MIMI NI HAZINA ILIYOTOKA MBINGUNI KWA MUNGU
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 09, 2024
Product Views:
470
Sample
MIMI NI HAZINA ILIYOTOKA MBINGUNI KWA MUNGU
Napenda kumshukuru Mungu Baba kunipatia Neema yake hii ya kukuletea maarifa haya ya Neno lake ndani ya kitabu hiki kilichopo mkononi mwako. Kitabu hiki kitayafungua macho yako ya ndani "macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo" ( Waefeso 1:18 ) ili uweze kuona mambo ambayo Mungu amekukirimia katika ufalme wake alipokuleta hapa duniani.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza