MHANGA
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 14, 2020
Product Views:
8,268
Sample
Kila Mmoja Ni Mhanga
Kitabu hiki kina mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni WANAUME KUTOKUA NA UWEZO WA KUTOA YALE YANAYOWASUMBUA AKILINI (kwa lugha ya mtaa tunasema kufa kijerumani na tai shingoni).
Jambo la pili ni HUDUMA YA UNASIHI TANZANIA.
Kitabu hiki kinaenda na kampeni ya COUNSELING KWA WATANZANIA NA ATAKAE NUNUA ATAPATA HUDUMA YA COUNSELING BURE YEYE PAMOJA NA MTU WAKE WA KARIBU na unaweza shiriki katika kampeni hii kupitia mtandao wa kijamii kupitia hashtag hizi #UnasihikwawanaumeTz #UnasihiTanzania #CounselingtoMenTz #CounselingTanzania
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza