Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mgonjwa 10 Hatari Ya Ngono - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MGONJWA 10 HATARI YA NGONO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 27, 2022
Product Views:
1,180
In category:
Sample

1.UTANGULIZIrnrnKabla ya yote kabisa, ningependa kueleza vitu kadhaa ambavyo imekuwa ni changamoto kwa watu wengi. Wengi wetu tunashindwa kutofautisha kati ya magonjwa fulani na magonjwa mengine, kwa mfano UTI na magonjwa ya zinaa, japo yapo mahusiano fulani. Kabla ya haya magonjwa kumi kuanza kuyaelezea, unatakiwa tambua; rnrn• UTI NI NINI? Au (Urinary Tract Infection) ni nini? rn• MATUMIZI NA FAIDA ZA KUTUMIA CONDOM.rn• STI NI NINI? Au (Sexual Transmision Infection) ni nini? rnrnKwenye kitabu hiki utajifunza mwenyewe ukiwa nyumbani, hasa kwa mtu ambae ameshaanza mahusiano au kwa mtu anaetegemea kuingia kwenye mahusiano. Kitabu hiki kitakupa maandalizi mazuri kuyajua madhara au maradhi unayoweza kupata kupitia mahusiano ya kingono.rnrnWatu wengi wanashindwa kujua kwamba wanaweza kuanzia wapi baada ya wao kuwa wamepata maambukizi ya maradha mbalimbali hasa haya yanayohusisha matatizo ya sehemu za siri.

rnrn

1.UTANGULIZI

rnrn

 

rnrn

Kabla ya yote kabisa, ningependa kuelezarnvitu kadhaa ambavyo imekuwa ni changamoto kwa watu wengi. Wengi weturntunashindwa kutofautisha kati ya magonjwa fulani na magonjwa mengine, kwa mfanornUTI na magonjwa ya zinaa, japo yapo mahusiano fulani. Kabla ya haya magonjwarnkumi kuanza kuyaelezea, unatakiwa tambua;

rnrn

 

rnrn

·       rnUTIrnNI NINI? Au (Urinary Tract Infection) ni nini?   

rnrn

·       rnMATUMIZIrnNA FAIDA ZA KUTUMIA CONDOM.

rnrn

·       rnSTIrnNI NINI? Au (Sexual Transmision Infection) ni nini?

rnrn

 

rnrn

Kwenye kitabu hiki utajifunza mwenyewernukiwa nyumbani, hasa kwa mtu ambae ameshaanza mahusiano au kwa mtu anaetegemearnkuingia kwenye mahusiano. Kitabu hiki kitakupa maandalizi mazuri kuyajuarnmadhara  au maradhi unayoweza kupatarnkupitia  mahusiano ya kingono.

rnrn

 

rnrn

Watu wengi wanashindwa kujua kwamba wanawezarnkuanzia wapi baada ya wao kuwa wamepata maambukizi ya maradha mbalimbali hasarnhaya yanayohusisha matatizo ya sehemu za siri.

rnrn

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold