Mfumo Wa Biashara
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 25, 2022
Product Views:
2,810
Sample
Mfumo Wa Biashara
Mmiliki wa kampuni ambaye anatarajia kuwepo katika kampuni kwa kipindi chote ili mambo yaende, anapoteza maana halisi ya uwekezaji. Kwa kuwepo kila muda katika biashara, ni sawa na kuwa katika ajira binafsi. Mmiliki huyu anakuwa hana tofauti na mtu aliyeajiriwa na mtu mwingine. Ili mmiliki asiwe katika biashara masaa yote, anahitaji kitu kitakacho msaidia kusimamia biashara yake. Kitu ambacho kitafanya kazi badala yake. Kitu hiki ndio mfumo wa biashara. Mmiliki anahitaji kuwekeza katika kuunda na kusimamia mfumo mzuri wa biashara yake.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza