Mduara Wa Umaskini
Mduara Wa Umaskini ni kitabu ambacho kinaelezea ni sababu zipi zinazofanya watu wanazaliwa maskini na kufa maskini.
Baada ya kusoma kitabu cha Mduara Wa Umaskini utaweza kujibu maswali matatu ambayo yanawafanya watu wengi sana kuendelea kuwa kwenye mduara wa umaskini vizazi na vizazi;
1. Kwanini watu wanapata pesa lakini bado wanakufa maskini na kuziacha familia zao kwenye umaskini wa kupindukia?
2. Kwanini watu wanasoma, wanaajiriwa, wanapokea pensheni lakini mwisho wa siku wanarudi kwenye umaskini?
3. Kwanini wazazi wanajitoa na kujinyima ili watoto wao wafanikiwe na kuiokoa familia, lakini na bado hata watoto na wenyewe wanaendelea kufanya kama walivyofanya wazazi wao?
Hivyo kupitia kusoma kitabu hiki kitakusaidia kujua ni mambo gani yanatufanya tuzaliwe maskini na kufa maskini pasipo kujali tumesoma mpaka kiwango gani cha elimu, tumetokea familia zenye uwezo gani, tunatafuta pesa kwa njia gani, na pasipo kujali tunapata pesa kiasi gani. Lakini kwanini bado tunakufa maskini?
Soma kitabu hili ili kujua mbinu ambazo watu waliofanikiwa kujitoa kwenye mduara wa umaskini huwa wanazitumia kufanikiwa kifedha na kiuchumi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza