MCHANGO WA WAZAZI KATIKA NDOA
Mchango wa wazazi katika ndoa
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili ambao unatambuliwa kisheria kwamba watashirikiana katika mambo yote ya kihisia, kimapenzi na shughuri zingine zitakazo wawezesha kuendesha maisha yao wakiwa hapa duniani. Zipo ndoa za kiserikali, kidini na kitamaduni katika jamii tofautitofauti za watu. Kikubwa katika kitabu hiki nitazungumzia ndoa ya kidini inayofuata maadili ya kikristo na sio vinginevyo. Baada ya ndoa ni maisha yanaendelea sasa. Ndani ya maisha utaendelea kuzisoma tabia zingine ngeni kutoka Kwa mwenzi wako ambazo hukuzijua. Naomba hizo tabia ngeni ukizipata zisikufanye kuchanaganyikiwa nakuhisi hauko mahali sahihi ila zikufanye uimarike katika mahusiano siku zote na Mungu atakubariki sana.
Endelea kujisomea utabarikiwa sana.
NAHUM MALAKALINGA