MBUGA CHAFU
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 15, 2023
Product Views:
1,140
Sample
Kila binadamu ana nguvu ya asili inayobeba UTULIVU wa HATMA yake katika masuala yote kuhusu maisha. Wengi hukata tamaa kwasababu ya msukumo wa nje na changamoto ambazo asili yake sio MUNGU, wala asili ya uumbaji. MBUGA CHAFU ni riwaya iliyosheheni burudani, mbinu, mafunzo na majibu ya changamoto mbalimbali wanazopitia vijana katika maisha wakati wa kutimiza ndoto zao. KAMATA NAKALA YAKO HUTAJUTIA KUISOMA.