Mbinu Za Kutunza Tunu Ya Jana
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 10, 2022
Product Views:
1,543
Sample
Mbinu Za Kutunza Tunu Ya Jana
Kitabu hiki nakiweka wakfu kikawe nguzo ya vijana wenye malengo, wanaotaka kuitunza tunu ya ujana wao, wanaojituma, wazalendo wa kweli wenye malengo ya kuufikia ulimwengu na kuleta mageuzi chanya. Naamini mbinu nilizoainisha katika kitabu hiki kidogo, kwa msaada wa Roho Mtakatifu zitawasaidia vijana na hata wazazi ili waendelee kulea vipaji vya vijana na kuwasilikiliza pia, ya kuwaamulia kila kitu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza