MBINU ZA KUTIBU MOYO ULIOUMIZWA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 02, 2020
Product Views:
2,950
Sample
Dunia tunayoishi imejawa na vilio na masononeko ya kila namna. Kila kona dunia imejawa na simanzi na misiba ya kila leo. Watu wa kila kabila, rangi na itikadi wanaishi kwenye dimbwi la sintofahamu na kuona mwangaza wa uhuru wa vifungo na matatizo yao. Wengi wamejeruhiwa mioyo na kuachiwa vidonda na makovu yasiyotibika katika maisha yao.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza