MBINU ZA KUPATA PESA NYINGI
Kitabu hiki kitakufaa kwa kukupatia mawazo zaidi ya 66 ya miradi na biashara zenye kuweza kukupatia kipato uwe umeajiriwa au unataka kujiajiri. Ni kitabu kinachopendwa sana na watu wengi.
Ndani ya kitabu hiki utapata kujua uchambuzi wa miradi kadhaa yenye pesa. Miradi au Biashara kubwa za kitaifa na kimataifa. Utafurahia sana uchambuzi wa kila wazo. Kitabu hiki kimeandikwa na mtu ambaye siyo tu anayefundisha bila vitendo. Kimeandikwa na anayetenda mwenyewe. Ni miradi michache ambayo amaendika bila yeye mwenyewe kuifanya. Kutokana na utafiti kitabu hiki kimeandikwa. Uchunguzi na utafiti umefanikisha kuandikwa kwa kitabu hiki.
USIKIKOSE KWENYE MAKTABA YAKO YA VITABU
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza