MBINU ZA KULEA WATOTO KIMILIONEA
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi endelevu. Mithali 13:22. Kama unawapenda watoto wako utawaachia kitu cha kuwafaa maishani mwao hata kama wewe hautakuwepo duniani tena. Huo ndiyo upendo kwa wazazi wenye hakima. Unatamani uwaachie nini watoto wako?
Kitabu hiki kimesheheni mbinu zinazofaa kutumiwa kuwalea watoto ili wasije wakawa na maisha ya kimaskini kama sisi wazazi wao. Endapo hutafanya juhudi kuwaonesha watoto njia iwapasayo kuiendea kifedha, kiroho, kiuchumi, kiutamaduni, n.k watoto wako wataamua kuchukua njia yoyote watakayoona inafaa machoni pao.
WALEE WATOTO WAKO KATIKA NJIA IWAPASAYO KIUCHUMI NAO HAWATAIACHA.
USIKOSE KITABU HIKI KWENYE MAKTABA YAKO.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza