Mbinu Za Kufaulu Mitihani Kwa Kiwango Cha Juu
Pure Preparation leads to Pure Performance
Pure Preparation, leads to Pure Performance and Poor Preparation, leads to Poor Performance >>> Maandalizi mazuri, husababisha matokeo mazuri yatokee na Maandalizi mabaya, husababisha matokeo mabaya yatokee.
Ili uweze kufanikiwa kwa kiwango kizuri katika jambo ambalo unataka kulifanya, inakupasa kufanya maandalizi mazuri kwanza kabla hujaanza kulifanya hilo jambo.
Hata katika masomo, ili mwanafunzi aweze kufaulu vizuri mitihani, anapaswa kufanya maandalizi mazuri kabla kipindi cha mitihani hakijafika.
Je, wewe ni mwanafunzi na unataka kufaulu mitihani kwa kiwango cha juu ?, karibu sana ujipatie kitabu hiki kwani kitakusaidia kuzijua mbinu 20 ambazo zitakuwezesha kufaulu vizuri mitihani yako.
Lakini pia, kama wewe ni mzazi ambaye unataka mwanao (mwanafunzi) afaulu vizuri mitihani yake, karibu umchukulie kitabu hiki kwani kitamsaidia sana katika masomo yake.