Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mbinu Za Kisasa Za Kuongeza Mauzo - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MBINU ZA KISASA ZA KUONGEZA MAUZO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 29, 2024
Product Views:
19
In category:
Sample

Soma Maelezo Yote Hapo Chini

Mauzo (Sales) au Ujuzi wa Kuuza Ndio Ujuzi Unaowindwa Zaidi Duniani na Makampuni Mengi Kuliko Ujuzi Wowote, Kwasababu Kama Una Bidhaa au Huduma na Haujui Kuuza au Hauna Ujuzi wa Kuuza ni Sawa na Kutwanga Maji Kwenye Kinu, Lakini Ukiwa na Ujuzi wa Kuuza Unaweza Kuuza Hata Jiwe na Likauzika…

.

Ndio Maana Kwa Miaka Mingi Sana Nimekuwa Nikilipia Pesa Nyingi Sana Kwenye Mafunzo Mbalimbali Ndani na Nje ya Nchi Kujifunza Zaidi na Kufanyia Kazi Ujuzi Wa Kuuza Bidhaa au Huduma, na Baada ya Kujiridisha na Kupata Matokeo, Nikaamua Kukusanya Huo Ujuzi Wote na Kuuandikia Kitabu Kimoja..

.

Ndani ya Kitabu Hiki Cha *”Mbinu Za Kisasa Za Kuongeza Mauzo”* Chenye Kurasa 112 Utajifunza Vitu Vifuatavyo…

.

1.Nakuhakikishia Kwa 100% Huwezi Kuuza Kamwe na Utaiona Biashara ni Chungu Kabisa Kama Hujawajua Hawa Wateja Waliojificha Kwenye Hivi Vipengele 12 - Uk 12

.

2.Iba Hii Siri Nyeti Aliyoitumia Huyu Jamaa Ya Kutawala Sokoni na Kuwa na Jina Kuliko Washindani Wako - Uk 5

.

3.Nimekufichulia Hizi Siri 10 Za Kuongeza Mauzo Kwenye Biashara yeyote - Uk 32

.

4.Je Unataka Kupata Wateja Wapya Kila Siku, Basi Tumia Hizi Mbinu 20 Ambazo Wengine Hawazitumii - Uk 44

.

5.Kupaya Wateja Inaweza Kuwa Rahisi Lakini Kuwafanya Waendelee Kununua Kwako ni Ngumu Sana, Lakini Tumia Hizi Mbinu 15 Utanishukuru Sana - Uk 59

.

6.Asilimia Kubwa ya Wateja Wanunua Kutokana na Bei yako, Fanya Hivi Kuwashawishi Wafanye Maamuzi Haraka ya Kununua Kivyovyote Vile - Uk 66

.

7.Tumia Kimya Kimya Hizi Siri 15 Za Kuwafanya Wateja Wauliziaji tu Bila Kununua Wanunue Muda Huohuo - Uk 

.

8.Mbinu Za Kivita Za Kukabiliana na Visingizio vya Wateja Kutotaka Kununua - Uk 78.

.

9.Ukizitumia Hizi Siri 10 Ambazo Wafanyabishara Wengine Hawazitumii Utawaacha Mbali Sana Mita Milioni Moja - Uk 91

.

10.Ili Uuze Zaidi, Wateja Wanahudumiwa Kwa Hii Misingi 12 Ambayo Asilimia Kubwa ya Wafanyabishara Huipuuzia au Wengine Hawaijui Kabisa -Uk 98

.

Thamani ya Madini Yaliyopo Kwenye Hiki Kitabu ni Zaidi ya Dollar Za Kimarekani 39 , Sawa na Tsh.89,622 Za Kitanzania.. Bei ambayo walio wengi hasa wanaoanza biashara ni ngumu kuimudu..

.

MAAMUZI MAGUMU Niliyochukua….

.

NA ..

.

Kwa Masikito Makubwa Nikaona Sio Mbaya Nikipunguza Japo Kila Mjasiriamali Afaidike Na Haya Madini, Hivyo Badala ya Kulipia Sh.89,622 Utalipia Sh.22,800 tu …

.

Lakini Kwa Kuwa Hiki Kitabu Ndio Kimezinduliwa Rasmi Hivi Karibuni Nimeamua Kukitoa Kama Zawadi Kwa Watu 6 tu Watakao Wahi Kulipia…

.

Hivyo Badala ya Kulipia Sh.22,800 Watachangia Kiasi Kiduchu Sana Tena Sana Cha Sh.2,000 tu (Buku Mbili Tu), Kama Ni Wewe Basi Chukua Maamuzi Sasa Hivi Uokoe Sh.20,800.

.

Na Kama Utakisoma Hiki Kitabu na Kikashindwa Kukupa Matokeo Nidai Pesa yako Nami Ntakurudishia na Ya Usumbufu juu, na Kitabu Utabaki Nacho. 

.

Kumbuka OFA ya Zawadi Ya Kutuma Mchango Wako ni Kwa Ndani ya Masaa 24 tu Kutoka Sasa Baada ya Hapo Bei Itarudi Kwenye Uhalisia wa Sh.22,800.

.

Ni Follow Kwenye Mitandao Yote ya Kijamii Kwa Jina la *Sanga Business* Kisha Acha Comment yako na Like na Ku Share Post Zangu..


JINSI YA KUPATA KITABU HIKI

1. Bofya kitufe cha *BuyNow*

2. Jaza Jina lako lote (Majina Mawili)

3. Jaza Email Address Yako

4. Chagua mtandao utakao tumia kulipia 

5. Jaza number ya simu ya huo mtandao wako ulio chagua

6. Bofya kitufe cha *Complete Order* halafu subiri kidogo

7. Weka password yako ya malipo 

8. Bofya Okay


More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold