MBINU ZA BIASHARA NA MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI
MBINU ZA BIASHARA NA MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI
Kitabu hiki kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na kupata utajiri. Kitabu hiki kina sehemu mbili, sehemu ya kwanza inaeleza kuhusu taratibu za kuanzisha biashara sheria, utafiti wa masoko, utunzaji wa hesabu za biashara na utatuzi wa matatizo ya biashara. Sehemu ya pili inaelezea kuhusu mawazo, mbinu mbalimbali za biashara unazoweza kuzifanya na kupata faida na hivyo kutajirika. Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi alikuwa Mkaguzi wa Hesabu Mwandamizi shirika la Umeme TANESCO kwa miaka 25 akiwa ni mtumishi wa umma.Ni msomi mwenye stashahada ya Uhasibu. Pia ni mshauri wa masuala ya biashara. Sasa hivi ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo ya uendeshaji wa biashara mbali mbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu waloomba ushauri kutoka kwake. Kitabu hiki kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na utajiri. Kitabu hiki kina sehemu mbili, sehemu ya kwanza inaeleza kuhusu taratibu za kuanzisha biashara sheria, utafiti wa masoko, utunzaji wa hesabu za biashara na utatuzi wa matatizo ya biashara. Sehemu ya pili inaelezea kuhusu mawazo, mbinu mbalimbali za biashara unazoweza kuzifanya na kupata faida na hivyo kutajirika. Madhumuni ya Kitabu hiki ni kukusaidia wewe ili uweze kupata maarifa endelevu, ujuzi, elimu ya biashara na mbinu za kudunduliza fedha ili kufanikisha safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta utajiri. Kitabu hiki kina sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ina vipengele vitano ambavyo vinaelezea kuhusu namna ya kuanzisha biashara, taratibu za kisheria katika kuanzisha biashara, utafutaji wa masoko na utunzaji wa hesabu za biashara. Sehemu ya pili inaelezea kuhusu mawazo, mbinu mbalimbali na aina mbalimbali za biashara unazoweza kufanya na kupata faida. Kitabu hiki kinawafaa watu wote wanaotafuta kujiongezea mapato na utajiri kwa njia mbalimbali halali kwa kufanya biashara, kuanzia wafanya biashara ndogo ndogo hata wafanyabiashara wakubwa. Hakiishii kwa wafanyabiashara tu, bali kinamfaa mtu yeyote anayetaka kuwa tajiri kwa kuwa atajifunza mbinu mbalimbali za kujipatia, kunyumbua mapato yake na kuwa tajiri kwa njia halali. Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi alikuwa Mkaguzi wa Hesabu Mwandamizi shirika la Umeme TANESCO kwa miaka 25 akiwa ni mtumishi wa umma.Ni msomi mwenye stashahada ya Uhasibu. Pia ni mshauri wa masuala ya biashara. Sasa hivi ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo
ya uendeshaji wa biashara mbali mbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu waloomba ushauri kutoka kwake.