MBINU RAHISI ZA KUANDIKA KITABU
Aliwahi kusema Kate Grenville, mwandishi wa vitabu, kuwa; “hakuna anayezaliwa anajua kuandika lakini ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kwa kadiri unavyoendelea kuandika ndivyo mchakato unavyokuwa rahisi zaidi”. Hivyo basi, ni matumaini yangu ukimaliza kusoma kitabu hiki utaweza kuandika kitabu cha ndoto yako, lakini usisahau kunijpatia mrejesho mara uanzpo kuandikapo kitabu chako, nitafurahi sana!.

Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza