MATOKEO YA KESHO NI MIPANGO YA LEO
"MATOKEO YA KESHO NI MIPANGO YA LEO" ni kitabu rnkinachojikita katika kuleta mwangaza kuhusu umuhimu wa kuweka mipango tena iliyo thabiti na kuchukua hatua zilizo sahihi leo ili kufanikisha malengo ya baadae.Katika kitabu hiki mwandishi amejikita na kuchambua kwa kina jinsi maamuzi madogo ya leo yanavyoathiri matokeo ya kesho. Kupitia mifano halisi na ushuhuda wa watu waliofanikiwa, pia kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kuunda malengo, kutengeneza mikakati na kuhamasisha kuchukua hatua kwa ujasiri ,kinasisitiza umuhimu wa kuwa na maono, nidhamu na kujitolea katika kujenga dhana yenye mafanikio ya kesho yako.
Hivyo endapo msomaji atasoma kitabu hiki cha “MATOKEO YA KESHO NI MIPANGO YA LEO” kitamsaidia kufungua ufahamu kwa kutambua kwa kina kuhusu nini kinaweza kuchochea mafanikio na hata kuleta ukombozi wa kifikra kwa msomaji,kwani “mipango bila bidii ni bure” hayo ndio yanayojiri katika kitabu hiki .
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza