MATESO
Price:
6,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 30, 2021
Product Views:
4,760
Sample
Mtaa mzima wanapokea mshituko dhidi ya upotevu wa Emmanuel. Benadi anafanya mauaji na kukimbilia Machimbo ya madini ya Rubi, mpelelezi anatumwa kumsaka Benadi. Rais anaingia mkenge kwa kuruhusu maisha ya Yatima ikulu. Karibu tuufuatilie mkasa huu wa historia ya kweli ya Maisha.
Mwandishi Musa Ngonyani ni Mahiri katika simulizi na kuaanda riwaya za Maisha.
Katika riwaya hii ameonyesha madhaifu na namna ya kuichambua migogo katika Maisha, lakini ameutumia muda wake kuionyesha jamii nini tufanye ili kujikwamua na hali duni ya maisha na Uhuru wa Mapenzi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza