MAREHEMU KUTUBU KABURINI
Marehemu kutubu kaburini; Ni Riwaya iliyo andikwa kiubunifu na kwa vionjo vya lugha vyenye mvuto(kama vile misemo, mithali) pamoja na matumizi ya baadhi ya picha. Mvuto wake ni wa pekee sana usiyo mchosha msomaji. Bora msichana mzuri haswa, mrefu na mwenye mvuto wa aina yake kila unapomtizama anawapagawisha wanafunzi wenzake jinsia yakiume wanaanza kuhonga bumu na walimu wanahonga mitihani ili tu wapate penzi lake, wafanyabiashara na watu wenye vyeo ofsini magari yao yalishinda kutwa nzima njiani kumtafuta yeye tu. Masatu anashangaa kumtambulisha mke ambae amewahi kutembea na baba yake kimapenzi bila yeye kujua nyuma ya pazia kuna nini!!!
MAREHEMU KUTUBU KABURINI;Ni Riwaya yenye visa\r\nhalisia kutoka katika jamii, wahusika walio beba ujumbe wa riwaya hii yenye\r\nmvuto wa kipekee ni MASATU, NYANDARO, BORA, JEMBE, ALLY, MAMA SUKARI, JICHO LA\r\nHAKI NA MZEE CHOMBEZA. Lakini pia riwaya ina wahusika wasio na sifa za\r\nubinadamu licha ya kupewa sifa za ubidamu lengo likiwa ni kufikisha ujumbe kwa\r\nnjia ya ubunifu na mvuto zaidi wa kufurahisha, na wahusika hao ni; Mr. Magiza\r\ngiza, Mr. Mchana, Mr. Kifofo, Mr. Kaburiri na Mr. Marehemu. Mazingira ya riwaya\r\nhii nikijijini, mjini, migodini, sekondari mpaka chuoni, ofisini, sokoni,\r\nharusini na mtaani. Dhamira kuu ya riwaya ni Mmomonyoko wa maadili, Elimu,\r\nRushwa,Umasikini na Utajiri; Dhamira ndogo ndogo ni mapenzi, ukahaba, wizi,\r\nubakaji, unyanyasaji n.k.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza