MAPENZI UCHIZI
Price:
12,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 23, 2021
Product Views:
5,347
Sample
Mapenzi uchizi
Ni Riwaya iliyosheheni visa na mikasa mbalimbali kama vile usaliti, umasikini, mauaji, mapenzi ya uongo na mengine mengi. Binti Nina ni muhusika aliyebeba riwaya hii ili kutoa funzo kwa watu wote wanaowakumbatia marafiki waliobeba uharibifu.Nafurahia kuwa utajifunza na kuburudika kupitia hadithi hii. Karibu sana.
Jina: MAPENZI UCHIZI
Mwandishi: SUZANA OTAIGO
Mwaka: 2022
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza