MAMLAKA YA KIONGOZI
Unaweza kuwa Kiongozi, lakini usiwe na Mamlaka ya Kiongozi
MAMLAKA
YA
KIONGOZI
-rnUnaweza kuwa Kiongozi, lakini usiwe na Mamlaka ya Kiongozi.
-rnDalili zipi zinazothibitisha kuwa Kiongozi ni dhaifu
(powerlessrnLeader)
-rnKanuni ipi inaweza kukuweka katika kiwango cha mamlaka ya
Kiongozi.
ISBNrn978_9987_9436_3_0
rn
REV. LION A. MANGOLE
msomaji, napenda kukujulisha kuwa, kitabu hiki cha Mamlaka ya Kiongozi, ni kitabu kinacholenga kuhuisha au kufufua uhai wa kiongozi, kwa maana kiongozi pasipo mamlaka ni kama na mtu au kitu kilicho kufa. Au naweza kusema, kiongozi pasipo mamlaka ni sawa na gari isiyokuwa na injini. Na kwa msemo mwingine iwapo kiongozi asipokuwa na mamlaka, anakuwa kama kituko fulani, kwa maana nisawa na trafiki ambaye amesimama barabarani bila ya sare, hivyo huonekana kama mpita njia.
MKAZO HALISI WA KITABU
Mkazo wa kitabu hiki, ni kumjenga kiongozi yoyote kwenye maisha ya mamlaka ya kiongozi. Kiongozi anatakiwa kuishi ndani ya mamlaka au mamlaka iwe ndio sehemu ya maisha yake, aidha ajue kuwa ili uongozi wake uonekane ni lazima ionekane mamlaka ya kiongozi ndani yake, kwa kila anachokisema na kufanya, kionyeshe mamlaka ndani yake.
MALENGO MAKUU YA KITABU HIKI NI.
1. Kufundisha viongozi kujua nini maana ya uongozi
2. Kuimalisha viongozi
3. Kushauri viongozi
4. Kitabu hiki kiwe kama chuo kidogo cha uongozi hasa maeneo ambayo watumishi wa Mungu hawapati kiwepesi semina au kozi mbalimbali za viongozi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza