MAMBO AMBAYO SIKUJIFUNZA SHULENI
MAMBO AMBAYO SIKUJIFUNZA SHULENI ni kitabu ambacho kinazungumzia Maendeleo binafsi, Elimu ya taaluma na elimu ya fedha.
Je, shule zinafundisha haya masomo matatu? 1.Mwongozo wa kitaaluma 2.Elimu ya uchumi 3.Maendeleo binafsi Je, uliyasoma haya shuleni kwako? Mimi sikujifunza haya mambo shuleni. Kitabu hiki kidogo kitakupatia mwongozo wa baadhi ya kanuni zinazotengeneza kitambaa cha mafanikio. “MAMBO AMBAYO SIKUJIFUNZA SHULENI” kinamfaa mtu yeyote mwenye kiu ya mafanikio katika maisha yake. “Aidha wewe ni mtengenezaji wa habari au msomaji wa habari” ANTHONY LUVANDA “Ukitaka watu wakusaidie, jiweke wazi.” AMANI MWAIPAJA “Hatua kwa hatua kufikia mafanikio ya kweli.” DR. CHRIS MAUKI