MAMBO AMBAYO HATUJIFUNZI SHULENI
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 01, 2020
Product Views:
2,103
Sample
"Things we don't learn at school" Documentary inaonyesha MAMBO AMBAYO HATUJIFUNZI SHULENI kwa kusimuliwa na watalaam mbali mbali.
DOCUMENTARY hi ya MAMBO AMBAYO HATUJIFUNZI SHULENI ni hazina kubwa ya maarifa ambayo hatupati kwenye mfumo rasmi wa elimu.
Watalaam zaidi ya 15 walihojiwa kuhusu ujuzi au maarifa mbali mbali ambayo hatujifunzi shuleni. Walitoa pia ushauri kwawazazi, serikali na wanafunzi.
Angalia ushauri kutoka kwa Joel Nanauka, Rodrick Nabe, Dr. Chris Mauki, Anthony Luvanda, James Mwang'amba na wengine wengi.