Mama Mwenye Sura Mbili
Huu ni ushuhuda wa kweli wa maisha uliojaa mafunzo kemkem ya maisha hasa kwa vijana
Kuna wakati katika maisha ni lazima upitie mambo kadhaa ambayo yatakukomaza na kumtengeneza wewe bora ,
changamoto huwa zinakuja ili kutufundisha vitu tulivyokuwa hatuvijui kabla hivyo unapoata changamoto kuwa makini maana ni darasa ambalo ukijifunza vizuri hutakuwa kama ulivyokuwa awali,
nimejifunza mengi lakini nimetamani na nikushirikishe na wewe pia utapata kitu cha kukujenga naamini hutabaki kama ulivyokuwa.
Kwenye kitabu cha MAMA MWEYE SURA MBILI , kuna mengi ya kujifunza na baadhi yake ni haya.
1::*Kwanini unapaswa kukithamini kitu kabla hujakipoteza*
2::*kwanini unapaswa kujali kuhusu wengine*
3:: *Umuhimu wa watu waliokuzunguka kwenye mafanikio Yako*
4:: *Kwanini unapaswa kuvumilia mambo magumu?*
5:: *kitu gani unapaswa kufanya kama hauoni uelekeo?*
6::*Kwanini hupaswi kujivunia pesa ila wema uliopanda Kwa watu*
7::*Kwanini maisha hayana maana usipo yapa maana?*
8::*Mungu ni mwaminifu kuliko watu, kitu muhimu unachopaswa kujua kuhusu Mungu*
9::*Ujue nguvu ya maneno Yako*
10::*Utabadiliashaje historia Yako na ya vizazi vyako*
11::*Kwanini hupaswi kuamini kukataliwa kwamba ndio mwisho wa mafanikio yako?*
12::*Jifunze namna ya kuthubutu kufanya jambo lolote ulitakalo*
13:: *kwanini jana yako haina lolote juu ya kesho Yako*
14::*hakuna usiku unaokaa milele mwanga utachomoza tuu , hii ndiyo kanuni ya maisha kwamba kila kitu ni cha muda tu.*
Na vivinge vingi utajifunza kwenye kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza