Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Makosa 12 Yanayokunyima Wateja Instagram - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MAKOSA 12 YANAYOKUNYIMA WATEJA INSTAGRAM

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh. 12,000 Tsh.
Discount Code : U02806x
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 13, 2022
Product Views:
799
In category:
Sample

EBook hii itakusaidia Kuanza kupata WATEJA WA KUTOSHA kutoka Instagram kuja kwenye BIASHARA YAKO - baada ya kufanya Marekebisho kwenye Makosa 12 Yanayokunyima wateja wengi sasa hivi

Je umekuwa ukitumia Nguvu kubwa sana kutangaza bidhaa zako (au huduma) kwenye mtandao wa Instagram kwa Njia za kawaida na za kusponsor matangazo... lakini HAUPATI WATEJA WA KUTOSHA wa kukusaidia kuwa na Mauzo makubwa na Kuongeza Faida kwenye biashara Yako?

Hii eBook (PDF) imeandikwa kwa ajili Yako.

Sio PDF kama zingine ulizosoma zilizokuwa na mambo ambayo watu wameyakopi na kupesti kutoka YouTube na Google.

Yaliyomo ndani ya hii PDF ni mambo niliyoyafanyia kazi kwa zaidi ya Miaka 3 kwa kukosea na kupatia (kwangu binafsi na kwa wateja niliyokuwa nawahudumia).

Mwisho wa siku, nikagundua makosa 12 yaliyokuwa yananifanya nisipate wateja Instagram.

Nilipoyafanyia kazi, nilianza kupata wateja wengi zaidi (Instagram), Mauzo yangu ya kila mwezi yakaanza kupanda na Faida ikaanza kuonekana.

Yote hayo nimeamua kukuandikia na wewe kwa lugha rahisi ya KISWAHILI ndani ya hii PDF ili usiishie kukata tamaa kwa kudhani Instagram Haina wateja.


Mtandao wa Instagram una wateja unaowahitaji, ila haya makosa 12 ndio yanayokurudisha nyuma (kwa kujua au kutokujua)


Kwa Ofa ya shilingi elfu 10,000 tu nakupatia hii PDF siku ya Leo.

Itakusaidia Kuanza kupata WATEJA WA KUTOSHA kutoka Instagram kuja kwenye BIASHARA YAKO - baada ya kufanya Marekebisho kwenye Makosa 12 Yanayokunyima wateja wengi sasa hivi.

KISIPOKUSAIDIA NJOO UDAI PESA ZAKO, UTAREJESHEWA ZOTE. Kwa hiyo, hauna cha kupoteza (upo salama kabisa).


JE UPO TAYARI KUANZA KUPATA HAO WATEJA WENGI KUTOKA INSTAGRAM? Bonyeza button ya BUY NOW hapo juu kulipia hiyo elfu 10,000 sasa hivi kwa njia ya Simu/benki, upate PDF yako ndani ya sekunde 2 tu kwenye Smartphone Yako.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold