
MAISHA YA CHUONI
Chuoni Ni kama kiwandani, ambapo bidhaa tofauti tofauti huzalishwa. ( Yaani watu wenye tabia, mwenendo,Na Mitindo ya Maisha Fulani hutengenezwa hapo).rnrnNajua Kuna wale ambao huenda Chuoni kwaajili ya Kuongeza elimu, yaani walishaajiriwa au walishasoma mpaka level Fulani Ila wanarudi Chuoni Kuongeza elimu, najua kitabu hiki kitawasaidia pia.rnIla Kitabu hiki Ni mahususi Kwa wale Wadogo zetu waliotokea Sekondari moja Kwa moja (fresh from school) Na kujiunga na Chuo kikuu. rnrnHiki kitabu Ni kwaajili Yenu!!! rnNimeelezea mambo muhimu ya kufanya Na ya kutokufanya uwapo Chuoni...
Umesikia, unasikia, au unaambiwa Nini huko mtaani kuhusu Maisha ya Chuoni??
Watu wanasema Chuoni Kuna Nini? Na Kuna watu Wa aina Gani?
Vipi kuhusu Maisha ya Chuoni wanasema yakoje? Je, Uhuru mwingi? Je, Kuna fursa za kibiashara? Je Ni rahisi kupata mwenzi? Je, wanasema Kuna boom la kukufanya uweke Akiba ununue Gari Na kujenga kabisa?
Sasa majibu yake, utayapata ndani ya kitabu hiki.
Katika Kitabu hiki Nimeelezea mambo muhimu ya kufanya uwapo Chuoni.. Na mambo ya kutoyafanya... Ili ukimaliza Chuo useme hakika miaka yangu nimeitendea haki!
Nimezungumzia Suala la umuhimu Wa kufanya kinachokupeleka Chuoni( Elimu), Suala la Ibada , umuhimu Wa kuheshimu Mahusiano unayojenga Na watu,kuweka Akiba,Namna ya kutumia muda wako vizuri, Marafiki, Athari za msongo Wa mawazo ( afya ya akili ) , Kuishi Maisha yako halisi( Being Real),umuhimu Wa kutunza afya ya mwili wako... Na mambo mengine mengi.
Take your time... Soma Kwa undani.
Pata kitabu hiki... Utanishukuru baadae..