Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maisha Nyuma Ya Pazia - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Maisha Nyuma Ya Pazia

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 26, 2022
Product Views:
1,754
In category:
Sample

Maisha Nyuma Ya Pazia

Maisha ya mtu nyuma ya pazia wengi huwa hatuyafahamu kwa sababu hayaonekani kiurahisi. Maisha yanayoonekana ki- wepesi na haraka yanafananishwa na ukurasa wa mbele, ukurasa wa mbele wa gazeti. Ukurasa wa mbele wa kitabu unaonekana sana kuliko mambo yaliyomo. Kwa sababu maisha ya ukurasa wa mbele yanaonekana sana, watu wengi wamejikuta wakiamua kuigiza maisha hayo ili waonekane ki-wepesi na haraka wakati uhalisia wa maisha yao nyuma ya pazia hauendani na maisha yao ya ukurasa wa mbele. Ni kweli maisha ya ukurasa wa mbele yanafaa kuwa mazuri, ni kweli yanatakiwa kuvutia, ni kweli yanatakiwa kuwa kioo na barua nzuri katika jamii lakini hayatakiwi kuwa maigizo. Yanatakiwa kuwa halisi hata kama hamna mtu anayekuona.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold