Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maisha Ni Fursazitumie Zikubebe - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MAISHA NI FURSA:ZITUMIE ZIKUBEBE

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 13, 2022
Product Views:
1,470
In category:
Sample

Maisha ni Fursa: Zitumie Zikubebe

 

rnrnrn rn rn rn
rn

U

rn
rnrn

shawahi kuona hili? Mturnanaambiwa kuwa kuna fursa fulani, anakimbilia kuifanyia kazi. Kabla hajatulia anasikiarnkuwa kuna fursa nyingine ambayo nayo anaikimbilia. Hivyo, anajikuta kuwa yeyernkila mara ni mtu wa kudaka fursa hii, kisha kuachana nayo na kudaka fursarnnyingine.

 

Wakati huohuo kuna waturnwagumu kuziona fursa. Ndio maana mtu anaweza kuwa katika eneo fulani, ila haonirnfursa zilizopo. Akatokea mgeni kutoka mbali na kuona fursa kwenye eneo hilo,rnkisha huyo mgeni akaanza kuifanyia kazi hiyo fursa. Ndio unakuta na mwenyejirnanakimbia ili na mwenyewe aanzishe kitu hichohicho ambacho ameona mgenirnanafanya. Muda mwingine unaweza kukuta mpaka watu wanaoneana gere mpakarnwanafanya fujo ili uachane na hicho kitu unachofanya. Ubora wa fursa ni kuwarnzipo nyingi tu ila wachache sana ndio ambao huwa wanazitumia huku wenginernwakiendelea kulalamika kuwa hakuna fursa.

 

rnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrn

Kwenye kitabu hiki unaenda kujifunzarnkila kitu unachohitaji kujua kuhusu FURSA na namna ambavyo unaweza kuzitumiarnfursa. Je, upo tayari?

More Products On Discount
More Products From This Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold