MAISHA NA WITO ULIOTUKUKA WA BABA ASKOFU JOHN RAMADHANI
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 18, 2024
Product Views:
167
Sample
Bishop John Ramadhani was a man of many great parts.
Mwenendornwa Askofu katika kumuwakilisha YesurnKristo Katika jamii hata jamii ikakushuhudia hivyo nis msingi wa agizo la Bwanarnwetu Yesu Kristo.Yesu alituambia mtu akita kunifuata na ajikane nafsirnyake,kisha ajitwike msalaba wake ankifuate killa siku.Luka 9;23-25.
Hudumarnya Baba Askofu John Ramadhani ilijikita katika kuiishi aya hii.Mbinu zake zarnkuyaishi haya zinavutia na kufurahisha.Alikuwa mtu muadilifu mwenye utumishirnusiolaumika.
rnrnrnrn
Kariburntujifunze mbinu zake katika kuishi Maisha ya Kikristo yenye tija katika Kanisarnla Mungu.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza