MAISHA HUANZA HOFU INAPOKWISHA
Maisha Huanza Hofu Inapokwisha ni kitabu bora ambacho kitakusaidia kujifunza mambo yafuatayo:- rn1.Kwa nini Hofu inazuia Ukuaji wa Kifikra?. rn2.Kwa nini Hofu inaua ndoto za watu?rn3.Kwa nini Hofu inaua Maendeleo ya kiuchumi? rn4.Namna ya Kukabilia na Hofu. rn5.Maisha Baada ya Kuishinda Hofu. rnKaribu upate nakala ya kitabu hiki kizuri siku ya Leo.
Emmanuel Mwambene ni Mkemia na mfanyabiashara ambaye amefanikiwa kubadilisha Elimu ya Darasani na Kuwa Pesa. Kwa sababu Tumefanikiwa Kutengeneza Dawa ya Tezi Dume,Bawasiri na Kisukari ambazo zimeonesha Ufaninisi mkubwa sana Kwa Watumiaji wetu.
Vilevile nimeandika vitabu vitatu ambavyo ni Emotional Intelligence,Days of Our Lives na Life Begins When Fear Ends ambavyo vinapatikana katika Tovuti ya Amazon,Getvalue, Shop with Vero na kwenye maduka ya vitabu mbalimbali Tanzania.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza